omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuipakata dunia tena....Kweli tena, umpate anayejua maana ya upendo..Yaani maneno yake tu yanakufanya uipakate dunia.
Love is spirituality na inahappen mysterious way. Unaweza penda hata Jini for no reason ukiulizwa kwanini umependa kigagula wewe unabaki tu kujibu Nampenda hivo hivo tu.