Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani upendo wako wanifanya nijihisi mtoto mdogo, malaika nisiye na dhambi.... Haipiti sekunde pasipo kukufikiria na kufikiria pendo lako linavyouneemesha Moyo wangu...Una nini lakini??
[emoji8][emoji11][emoji11][emoji11]
Asante [emoji173]
Naona leo ni mwendo wa makopa kopa tu[emoji179][emoji177]
Jibambe maa[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hivyo unashauriwa usipendelee sana kuhifadi matikiti kwenye friji, la hasha ikilazimu kwa kuwa umeshayapasua uyaweke lakini yasizidishe siku mbili kuwekwa sehemu hiyo vinginevyo utakapokuja kuyala utakuwa unakula tu ili ujaze tumbo na sio unakula ili kuupa mwili wako virutubisho vya msingi vipatikanavyo kwenye matunda haya.
 
If you have leftovers, store them in an airtight container in the fridge for up to three days

ZINGATIO: Vyote hivyo havipaswi kuwekwa kwenye Friji, Na kama ulikuwa ukiviweka vyote hivyo kwenye friji yako awali kwa matumizi ya baadaye, na kwa mazoea basi utakuwa umekosea na unapaswa kutoviweka kuanzia hivi sasa unapoisoma elimu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…