Usiku wako uwe wa raaaha...Wewe jirani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
SawaI'm not jealous, but when something is mine, it's mine.
Kuchaaa....
Asante,Penda maa,tena penda haswaaa,pendeka pendaneni,mfurahie maisha yenyewe mafupi haya maa
Huyu dada shangazi zake walimwambia hata olewa nn?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jirani buana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchaaa....
Kametakata[emoji16][emoji16]
This is so me when talkin to you[emoji23]That instant smile I get when i talk to you.[emoji4][emoji4]
AaahPoa sana
Mbona hukuja tena??
Ahsante kwa ilim kakaIli kujua kama ni kichwa cha kweli kweli au ni dehydration (dalili yake ya kwanza kwanza ni maumivu ya kichwa), mara nyingine jaribu kunywa maji nusu lita au lita nzima kabisa halafu usubiri nusu saa hivi. Kama ni dehydration kitaondoka mara moja. Kukimbilia kunywa dawa siyo wazo zuri kwa sababu kama ni dehydration unakuwa hujatatua tatizo japo kichwa kitatulia. Na kama dawa zina acetaminophen nyingi unaweza hata kudhuru ini lako bila kutegemea.