moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Waumini wanawake wapambane na hali zao, waache shot cut kwenye maisha. Hii yote husababishwa na uoga wa maisha, maisha hayatarahisishwa na kiongozi wako wa kiroho. Hapa amewaongezea mkwamo badala ya kuwapunguziaWaumini hasa wa kike wana nini lakini? Matendo haya ya aibu mpaka lini? Yesu Arudi tu kwa kweli tujue moja....
View attachment 788829