myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:14
Point tupu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 789347
Hii moja kafanya kwa Marco Chali inaitwa unayumba ila hii nyingine sijaifaka jina lake ila ndio kali zaidi kafanya kwa Mr TMkuu naomba majina ya hizo ngoma, plz.
Ahsante sana
Lilikuwa na lugha chafu sana.Lilikua na mvuto wake na ile staili yake ya kuvunja Shingo , halafu akishinda kinywaji...
Nilikuwa naisikiliza juzi na jana...
Ooo Jizazi. Nilikuwa nafikiri Mwakaleli. My bad [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe wapi mkuu wakati hapa ni moja ya vitongoji Nyegezi!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]