Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mhhh....Je hii ni sawa? Baba na mwanaView attachment 789365
Mhhh....Je hii ni sawa? Baba na mwanaView attachment 789365
Muda huo sheikhChapa likes kwa kasi ile ile
[emoji3] [emoji3]
Mhhhh, ngoja kwanzaaaaHii moja kafanya kwa Marco Chali inaitwa unayumba ila hii nyingine sijaifaka jina lake ila ndio kali zaidi kafanya kwa Mr T
Kweli mkuu,, kila nafsi itaonja mautiPamoja na furaha tuliyonayo hapa, lakini mjue kifo kipo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lakini vitongoji vya Nyegezi vyafanana na vitongoji vya mwakaleli[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ooo Jizazi. Nilikuwa nafikiri Mwakaleli. My bad [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi likes zitawatoa roho
Magharibi, karibu futariMuda huo sheikh