Sio Tabora tu mkuu, karbu mikoa mingi sasa ukipita unakuta wameanika mpunga kwenye lami,,,wamepata sana aisee[emoji3] [emoji3] [emoji3], wenzio Tabora wanaanika mpunga kwenye lami..[emoji28] [emoji28]
Posti kumbuka na likes
Yaani badala ya kushangaa nikabaki nacheka mwenyewe..Magari yanapita juu ya mpunga....Juzi nimepita Kahama mpunga tele.. aisee mwaka huu tutanunua 1kg@ 300Sio Tabora tu mkuu, karbu mikoa mingi sasa ukipita unakuta wameanika mpunga kwenye lami,,,wamepata sana aisee
Sasa Davet ananidanganya niwepo mjini,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mjini pana wenyewe
Shinyanga wana tabia ya kuanika mahindi mtaron au darajan hata kwenye lami. Ukipita kwa bus unabaki kushangaa na hayaibiwiYaani badala ya kushangaa nikabaki nacheka mwenyewe..Magari yanapita juu ya mpunga....Juzi nimepita Kahama mpunga tele.. aisee mwaka huu tutanunua 1kg 300
Yaani, sikuwahi kuona b4....madai yao yakauke haraka??Shinyanga wana tabia ya kuanika mahindi mtaron au darajan hata kwenye lami. Ukipita kwa bus unabaki kushangaa na hayaibiwi