Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ulikuwa hujui mimi nakujuza na kukufahamisha ..kila mtu nchini Iceland anasoma vitabu vingi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.Hebu jiulize wewe una vitabu vingapi ambavyo unavyo na kuvisoma..lakini nikikuuliza umetizama movies ngapi nadhani idadi utakuwa umeisahau kwa wingi wa movies.
 
Screenshot_20180528-113734.jpg
 
Kama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)
365612-omar-borkan-al-gala.jpg
365612-omar-borkan-al-gala.jpg
 
Kama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)View attachment 790061 View attachment 790061
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Kama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)View attachment 790061 View attachment 790061
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongooooo
 
Back
Top Bottom