Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uongooooo
Kule kwao pesa rahisi,huku tunatumia muda mwingi kuhangaika na life na ukirudi mtu umechoka hupat hata muda wa kusoma gazeti,pia kusoma kunachosha zaidi kuliko kuangalia thus why idadi ya movies tunazoangalia ni nyingi zaid kuliko vitabuKama ulikuwa hujui mimi nakujuza na kukufahamisha ..kila mtu nchini Iceland anasoma vitabu vingi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.Hebu jiulize wewe una vitabu vingapi ambavyo unavyo na kuvisoma..lakini nikikuuliza umetizama movies ngapi nadhani idadi utakuwa umeisahau kwa wingi wa movies.
Itakua Ndio hao hao mkuu...Kitambo saana
Hii bendi sijui ilikua inaitwaje? Tamtam?
Duuuh cjui nikaombe uraia nireplace nafas zao[emoji4] [emoji4]Kama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)View attachment 790061 View attachment 790061
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwendraaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya rekebisha fact za leo[emoji23] [emoji23]NUKUU KUTOKA KWA MZEE WETU,RAIS WA ZAMANI
WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA
(Msinipime kwa mafanikio bali kwa makosa niliyofanya na kujirekebisha)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hui wimbo mmenikumbusha kipenzi changu carbamazepine