[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahKama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)View attachment 790061 View attachment 790061
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee, binti anasahau kila kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ulikuwa hujui nami nakujuza na kukufahamisha..Anaitwa Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji na pia mpiga picha huko dubai pamoja na wenzake wawili wamefukuzwa chini Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri kupitiliza(handsome kupita kiasi)View attachment 790061 View attachment 790061