ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kwa bei
Hhaha dah hii spidi iendelee hivi hivi jamani kuelekea kwenye siku yangu ya kuzaliwa tarehe 7. Siku hiyo sherehe ntaifanyia humu humu,na kwa sms hii basi natoa mwaliko kwa wadau wote wa huu uzi.
Again todayIt's raining
Mkuu hii misemo uwe una tupia na maana takeZa mtu ni mbili--akili na haya.
Beautiful countryTANZANIA a country of rain
Umesoma ile comment lakini?ndo mana nikaulza isijekua ni....lol[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakuona ila "sina nia mbaya"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana huyo mtoto ananielewa sana tatizo mimi Tu ila one time I will make it up for herDaah, jamaa una maneno ya kukatisha wenzio tamaa weweee
Hapo sawa...Mark unaitwa hapaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimesoma vyema sijui anacrush kwa nani.Umesoma ile comment lakini?ndo mana nikaulza isijekua ni....lol[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako mkuuMzee wa liver salaam kwako