Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutumia mafundi duni

Wengi hupenda kuokoa gharama kwa kutumia mafundi wenye uwezo mdogo ili wawalipe kwa bei nafuu. Ni wazi kuwa rahisi inaumiza. Jiande vyema kabla ya ujenzi ili uweze kuitendea haki nyumba yako kwa kutumia mafundi bora wanaoimudu kazi yao vyema. Kutumia mafundi bora kutakufanya kupata pia kazi yenye ubora.
 
Nimeshuhudia nyumba nyingi zikivunjika kutokana na kujengwa haraka haraka bila kutoa muda wa kutosha kwa nyumba kukomaa na kustahimili uzito. Pia nimeona watu wakipuuzia umuhimu wa kunyesha sehemu iliyojegwa kwa maji mengi; ni muhimu kunyesha vyema eneo lililojengwa kwani “uimara wa saruji ni maji”; unaweza kunyesha angalau kwa siku saba asubuhi na jioni.
 
Matumizi ya vifaa duni

Kama nilivyoeleza katika maelezo yaliyotangulia, uhaba wa fedha huwafanya watu wengi kufanya kazi duni. Hivi leo kuna vifaa mbalimbali vya ujenzi, lakini si vyote ni bora. Kwa mfano, hakuna haja ya kununua kitasa kinachovunjika baada ya mwezi au vigae vinavyofubaa. Kwa kufanya hivi utapoteza pesa nyingi kwa kununua vifaa hivyo mara kwa mara. Jibane, jipange ufanye kitu cha uhakika.
 
Alitakiwa aje kwenye interview alafu ni interview ya hwshima sana basi alikua anawaambia yupo njiani hadi kipindi kikaisha hajatokea na simu akazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kuna mambo yalichanganya ikiwemo mboga.
 
Back
Top Bottom