ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji23][emoji23][emoji23] muoneHahah lazima ujue
[emoji23][emoji23][emoji23] muoneHahah lazima ujue
Hahaha...mwishoni hela inamrudia aliyeitoa.Huo mzunguko wa pesa mzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iron fistLegend of the Seeker
Acha kabisa.Hahaha...mwishoni hela inamrudia aliyeitoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muone
fingerprint niliweka ya mbwa wangu sas naona ameenda mawindon akija ntakushtua fundi.........[emoji23][emoji23][emoji23], leta nikurekebishie
Dare DevilIron fist
I have my standards mkuu.love doesn't ask why mkuu
Tufanye yameisha mkuu.Tatizoooo nini!!!!
Heri kuishi na nyoka mwenye sumu kali ndani ya nyumba kuliko mwanamke mkorofi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hekima za Mfalme SuleimaniNafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
Mpumbavu hesema moyoni mwaka hakuna Mungu.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiwe ni zito, na mchanga hulemea; Lakini ghadhabu ya mpumbavu ni nzito kuliko hivi vyote viwili.
Mkuu hakuna binadamu aliye mkamilifu angalia mazoea yako yasije kuwa tabia.I have my standards mkuu.
Japo huwa siangalii tu Umbo na Sura peke yake. Huwa naangalia ambacho kinaweza kunipa manufaa ya muda mrefu, hata kama ni kizuri vipi nikikuta hakina manufaa natupia hukooo.