Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Kufa haraka VS kufa taratibu....Heri kuishi na nyoka mwenye sumu kali ndani ya nyumba kuliko mwanamke mkorofi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hekima za Mfalme Suleimani
Kufa haraka VS kufa taratibu....Heri kuishi na nyoka mwenye sumu kali ndani ya nyumba kuliko mwanamke mkorofi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hekima za Mfalme Suleimani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], nilifikiri umeweka fingerprint ya ulimi wa kuku.fingerprint niliweka ya mbwa wangu sas naona ameenda mawindon akija ntakushtua fundi.........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
InhumansDare Devil
someone with the same interest is better.Mkuu hakuna binadamu aliye mkamilifu angalia mazoea yako yasije kuwa tabia.
Najua kabisa na kusema kwamba ni Flat Screen haimaanishi kwamba ni mbaya wala hajakamilika, kwasababu ukweli ni kwamba huyo dada ni Mzuri Sana lakini binafsi hajanivutia. Nilichosema ni kwamba Mimi kama Malcom ninavitu nivipendavyo (Preference) kwa mwanamke, ambavyo ni zaidi ya Umbile na Sura. Naangalia kama huyo mtu atakuwa Asset au Liability, au wewe mkuu moyo ukishapenda ndiyo ishatoka ???Mkuu hakuna binadamu aliye mkamilifu angalia mazoea yako yasije kuwa tabia.
Heri kufa haraka aisee.Kufa haraka VS kufa taratibu....
Agent Jessica Jones.Inhumans
Death wishDeath Note