Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu hakuna binadamu aliye mkamilifu angalia mazoea yako yasije kuwa tabia.
Najua kabisa na kusema kwamba ni Flat Screen haimaanishi kwamba ni mbaya wala hajakamilika, kwasababu ukweli ni kwamba huyo dada ni Mzuri Sana lakini binafsi hajanivutia. Nilichosema ni kwamba Mimi kama Malcom ninavitu nivipendavyo (Preference) kwa mwanamke, ambavyo ni zaidi ya Umbile na Sura. Naangalia kama huyo mtu atakuwa Asset au Liability, au wewe mkuu moyo ukishapenda ndiyo ishatoka ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…