Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Hapa kwema niko toka asubuhi nakisongesha bob.Woyooo. Mambo ni fresh mtu wangu. Vip kwema hapa kilingeni? Harakati nazo vipi?
Kazi vipi mitaa hiyo?
Hapa kwema niko toka asubuhi nakisongesha bob.Woyooo. Mambo ni fresh mtu wangu. Vip kwema hapa kilingeni? Harakati nazo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You knoe youself
Salam yako atakupa Bashiru AllyView attachment 790655
Nipo sawa braza, hofu kwakoHujambo mdogo wangu?
Mambo ni gud mkuuMambo nigani aisee?
Death rowDeath rate
Hapo sawa.Najua kabisa na kusema kwamba ni Flat Screen haimaanishi kwamba ni mbaya wala hajakamilika, kwasababu ukweli ni kwamba huyo dada ni Mzuri Sana lakini binafsi hajanivutia. Nilichosema ni kwamba Mimi kama Malcom ninavitu nivipendavyo (Preference) kwa mwanamke, ambavyo ni zaidi ya Umbile na Sura. Naangalia kama huyo mtu atakuwa Asset au Liability, au wewe mkuu moyo ukishapenda ndiyo ishatoka ???
AAkili ina nafasi ndogo sana kwenye mapenzi.Upo sawa mkuu,hata ukipenda kweli iache akili ifanye kazi yake usiruhusu ilale.
Kama Mambo ni fresh basi freshMambo ni gud mkuu
Hellow!Kweli kabisa, unapata maumivu makali sana ya muda mfupi tu..
kuku juzi nimepeleka kwa mganga nasubiri risiti.....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23], nilifikiri umeweka fingerprint ya ulimi wa kuku.
Hongera! Kwakupata wa ubavu wako wakushoto naweza nikasema.Upo sahihi mkuu,binafsi nilipata mrembo tuna same interest kwakweli maisha yanaenda hadi raha unapata thamani ya kuwa kwenye mahusiano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiii
Who is he? View attachment 790656
Am so proud of your presence. Stay blessed[emoji137] omarion
Hahah!! Pamoja kamandraKama Mambo ni fresh basi fresh
Niko fitiNipo sawa braza, hofu kwako
Nipo seat ya kati hapa bro.hapa kwema kabisa...karibu tuendeleze
Ndugu kuwa makini usije kuliwa kichwa.AAkili ina nafasi ndogo sana kwenye mapenzi.
Bro am so proud of you aseeAm so proud of your presence. Stay blessed