[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hah haha haha ....Mkuu umeishi uzaramoni nini ....??
hahaha ..mkuu hawana mwiko hao...jiandae kuchapiwa na wapiga ngoma "...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh! Mkuu nilitaka niolee uzaramoni
Karibu mkuu tupo tumejaa tele.Nimetoka huko na subscribe naona watu wanasifiana makalio tu""...aagh bora nirudi nyumbani hapa....hapajawahi kunichosha.....
HESHIMA KWENU WAKUU"".......
Eehhahaha ..mkuu hawana mwiko hao...jiandae kuchapiwa na wapiga ngoma "...
Yaan sana tatizo utalii wandani tunazinguaga sana ila wenzetu wanaelewa sana ni kama kuwa na mke alafu huoni thamani yake. mpaka majamaa ya nje ndo yanammezea mate tu mwisho wa siku wanamtreat ipasavyo.....Huko nina mpango madhubuti wa kufika tena mwezi wa Saba Mwishoni. Kuna sehemu zina raha sana Tanzania.
Asante mkuu...ndio maana huwa napapenda huku ..hakunaga utoto utoto".....mbarikiweKaribu mkuu tupo tumejaa tele.
Ha haha hahaaa .......no commentEeh
Kaka yalisha nikuta kwa hiyo nawajua uzuri tuu