Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Elimu Ya Mtu It's Nothing Ukiingia Kwenye Vyama Vya Siasa, Vyama Vya Siasa Vinaweza Kukufanya Ukafanya Au Kuongea Yale Ambayo Wakati Haupo Huko Ulikua Unawaelimisha Watu Kua Hayafai Kwa Kutumia Elimu Yako, Lakini Baadae Ya Kuingia Kwenye Siasa Unaona Maji Ni Maziwa Totally.