Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huko nina mpango madhubuti wa kufika tena mwezi wa Saba Mwishoni. Kuna sehemu zina raha sana Tanzania.
Yaan sana tatizo utalii wandani tunazinguaga sana ila wenzetu wanaelewa sana ni kama kuwa na mke alafu huoni thamani yake. mpaka majamaa ya nje ndo yanammezea mate tu mwisho wa siku wanamtreat ipasavyo.....
Welcome it's more amazing than usual........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…