MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Off Course ukiwa mbali na kitanda lazima utakosa tu usingizi......... Nikiwa Mbali nawe nakosa usingizi........
Off Course ukiwa mbali na kitanda lazima utakosa tu usingizi......... Nikiwa Mbali nawe nakosa usingizi........
Aisee, sijawahi kumsikia ngoja nmfatilie anaonekana yupo vzrSiku hizi bwana, wanawake sijui wakoje aisee!
Ila kuna huyu anapiga vitu hadi naogopa anaitwa IYEOKA anaimba Jazz na RnB za hatarii
Sikiliza huo wimbo mzee...Aisee, sijawahi kumsikia ngoja nmfatilie anaonekana yupo vzr
Vya kale ni dhahabu mkuu,,, wengi wao wanakuja na kupotea pia wamekosa ule uniq wanaigana sanaMzee niko poa sana, amenikumbusha mbali sana huyu jamaaa!
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni singeliNainjoy nikikuta madikodiko, na kitaani wananita midabwadako.........
Nainjoy mimiii, nainjoy
Daaah, siku hizi ubunifu umeisha sana..Vya kale ni dhahabu mkuu,,, wengi wao wanakuja na kupotea pia wamekosa ule uniq wanaigana sana
Brandy ni habari nyingine ile,, unaikumbuka ile collab yake na Monica,,, The Boy is mineBrandy is very underrated lakini ule ni moto mwingine mjomba!
Amen.......Habari za usiku Tz. Habari za usiku JF. habari za usiku wadau wa uzi pendwa.?
Mungu wetu sote. Anatupenda sote
Brandy ni habari nyingine ile,, unaikumbuka ile collab yake na Monica,,, The Boy is mine
Japo mimi huwa naupenda sana huu wimbo.Brandy ni habari nyingine ile,, unaikumbuka ile collab yake na Monica,,, The Boy is mine
Mkuu, Eti, ni kitanda kweli?!!..... Nikiwa Mbali nawe nakosa usingizi........
Pyongyang-seong
Ndio mzee, huwa nawasikiliza sana,, jamaa walikuwa na mzik mtamu sana, kuanzia mashairi hadi upigaji wa vyomboDaaah, siku hizi ubunifu umeisha sana..
Hivi na wewe hawa jamaa wa zamani huwa unawasikiliza
Umewasikiliza Fleetwood Mac ??Ndio mzee, huwa nawasikiliza sana,, jamaa walikuwa na mzik mtamu sana, kuanzia mashairi hadi upigaji wa vyombo
Lakini, Unarudi tena?Natoka mara moja naja