Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi SWV kiliwakuta nini tena ???
Ujue tatzo kubwa kwa kina dada, mahusiano pia yanachangia, makundi meng yanavunjika hasa kila pale kila mtu akitaka kuanzisha mahusiano hasa yale ya ndoa,, anakosa muda wa kuwa pamoja na wenzake, mara kidogo anaingia kwenye kulea watt/mtt tyl anakuwa mama,, kwa hyo zle tour anakosa, tyl hapo hata menejment zao znaanza kuwatosa,,,

Mwanzoni mwa mwaka huu,, kuna chanel moja hv walikuwa na kpnd chao cha Reunit SWV,,, aisee wamekuwa wakubwa now, wamama kabsa,,kile kipindi wanakifanya km reality show hv ya kurejea tena, wanaoneshwa wanavohustle wakiwa studio, wakitengeneza ngoma zao,,, labda wanaweza kulejea tena
 
[emoji426] [emoji427] [emoji428] [emoji429] [emoji430] [emoji431] [emoji427] [emoji426] [emoji427] [emoji428] [emoji429] [emoji430] [emoji431] [emoji427] [emoji427] [emoji428] [emoji429] [emoji430] [emoji431] [emoji427] [emoji427] [emoji428] [emoji429] [emoji431] [emoji427] [emoji428] [emoji429] [emoji430] [emoji431] [emoji427] [emoji430] [emoji431] [emoji431] Jipatie kitabu chako kwa bei nafuu kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom