cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Huyu sio wa kwamza wengine walipita wanajitegemea sasa hivi, hata safari zangu naweza kuwatuma.
Umeona kuna mtu kajilipua kwa mseminary wetu humu?Nini tena
SimuelewiKumbe na wewe umemstukia huyu eeh?
Muite tu atakujaHuyu mzee wa liver sio mfuatiliaji mzuri kuna toto kule nimeconectia ila ajaonekana
Sambaza likes pata likes.Like tamu kweli kweli, nataka niwajaze likeeee
Duh!! kumnyonya tena??Hakuna kumnyonya mtu, muendeleze nae akusaidie mbeleni
Kula likes usiwe na shingo ngumu kutoa likes kwenye huu uziMtu mzito kaliza watu huko
LinazungushwaNaona gurudumu bado linasukumizwa
YapMzee wa kupapasa