cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Mimi sikukuu unikute labda Dar Serena sijui wapi nao utawakuta na nawalipia
HahhahahahNajua Kichwa Kichafu kakuteka akili ila sio mtu mzuri utakufa kwa stress
Sawa sawa akabebe totoMtagi kule akauone na aone toto alilopewa
Can we look for a little privacy?That is for you to decide. ....doors are open.
Usalama hakuna tenaMbona nduki? ???
Umeniharibia sanaManeno mengi we mzee hafu muongo
Hahahaha my Queen yupo ISISHuyu mzee wa liver sio mfuatiliaji mzuri kuna toto kule nimeconectia ila ajaonekana