Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna viumbe vinne duniani vilivyo vidogo; Lakini vina akili nyingi sana.
  • Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari.
  • Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
  • Nzige hawana mfalme; Lakini huenda wote pamoja vikosi vikosi.
  • Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah mabinti wa kibongo kwa kweli kuwa nao ni shidaaa
Juzi nimekuta mdogo wangu wa kiume anapewa ushauri na dada zake bwana,
Eti umeanza kazi na kimshahara chako hicho sasa ole wako, eti mwanamke kama hujamuoa usijifanye baba yake.
Hapa kula tu, kulala kwao...nadhani ile ilikuwa ni kitchen party. Nilivyowasikia wale madogo nilijikuta nacheka sanaa!
Eti wadada wa mujini ni Mavempaya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…