Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,312
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo mwanamke au mwanaume tasa ni hatariKuna vitu vitatu visivyoshiba kamwe, Naam, vinne visivyosema, Basi!, Kuzimu; na tumbo lisilozaa; Nchi isiyoshiba maji; na moto usiosema, Basi!
KabsaJuzi nimekuta mdogo wangu wa kiume anapewa ushauri na dada zake bwana,
Eti umeanza kazi na kimshahara chako hicho sasa ole wako, eti mwanamke kama hujamuoa usijifanye baba yake.
Hapa kula tu, kulala kwao...nadhani ile ilikuwa ni kitchen party. Nilivyowasikia wale madogo nilijikuta nacheka sanaa!
Eti wadada wa mujini ni Mavempaya....
What if porn inafundisha mambo!Mhh, porn inaharibu sana mambo!
Kazi ya mwanamke siyo kukaa nyumbani!Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo. Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ohhh no!
Anything you have learnt, and wanna share with the group ???What if porn inafundisha mambo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah basi View attachment 792289
Tubariki ehhh Mola wanguTena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Uzuri ni kuwa mwanamke hata akikaa nyunbani tu she does thingsKazi ya mwanamke siyo kukaa nyumbani!
Fact walahi
MtumeeeeeeAnything you have learnt, and wanna share with the group ???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaahNakumbuka chatting tukiwa secondary school……
"Babe fungua mlango nikuje tulale"
"Nimefungua, come ndani hunnie"
"Nisongee sweetheart, na utoe nguo"
Saa hiyo Nugu moja iko Mombasa na Ngamia ingine iko Nairobi.