Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,312
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Hatakiwi kuwa House Wife thats it!Uzuri ni kuwa mwanamke hata akikaa nyunbani tu she does things
True of that!Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi. Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
Safi!Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani. Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
Tujalie ehhh Mola wangu!Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema, Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anything you have learnt, and wanna share with the group ???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 792304
Wanamnanga eti hajafaidi hata mshahara wake anakimbilia kujifanya baba mzazi wa mtu.Kabsa
Tena akishajua na kamshara ka jamaa analeta shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fresh tu lesistaView attachment 792308
It depends what if tumekubaliana awe house wife?Hatakiwi kuwa House Wife thats it!
Wanawake huwa tuna vipawa vikuu sana!
This is a wonderful lineUpendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa. Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanamnanga eti hajafaidi hata mshahara wake anakimbilia kujifanya baba mzazi wa mtu.
Ila upande wa pili niliona kuna kaukweli fulani hivi, wasipomsema akili haitatulia na tunaweza kumpoteza kabisaaa.
Declassified KGB documents : Churchill alimuua Stalin[HASHTAG]#Lumumba[/HASHTAG] Naomba unitag kwenye uzi wa "MASAMILA." Nimeutafuta, lakini sikuuona.
Kuna madini fulani hivi nataka yaingie ndani ya ubongo wangu.
Yep[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 792316
AminMungu awaponye wagonjwa woote