Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Every time i feel like I'm ugly[emoji21] i just go and look at a few profile pics of participants in this group then i feel better about myself. You guys give me hope.* [emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*DAILY JOKES*

Three men were drunk and they stopped a taxi. The taxi driver figured that they were not in their minds so, he just switched on the engine and switched it off and told them: "we have arrived". The first man gave him money. The second one thanked the taxi driver. The third one slapped him (the taxi driver). The taxi driver was stunned because he was hoping that none of them had realized that the car didnt move an inch, but he faked surprise and asked the third man: "what was that for?". The drunken man replied: "control your speed next time! you nearly killed us!!!"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
446629967_22652.jpg
 
Taarifa katika simu yako ya mkononi zinaweza kudukuliwa kwa urahisi pale unapochaji simu katika maeneo yanayotumiwa na watu wengi kama vile uwanja wa ndege, migahawa na hata usafiri wa umma.

Wengi wetu tunapenda kuzitumia kuchaji simu, hata unapoikuta simu ya mwenzako unaweza kuiondoa na kuweka ya kwako bila kujua unajiweka katika hatari ya kusambaza taarifa zako.
 
Utafiti uliofanywa na kampuni ya Kaspersky Labs ya Uingereza umegundua kuwa upo uwezekano wa kuingiziwa app za hatari katika simu hiyo bila mhusika kufahamu na kisha taarifa zako kudukuliwa kwa kipindi chote atakachoitumia simu yake.

Pia, utafiti huo umegundua app hiyo inaweza kuingizwa kwa muda usiozidi dakika tatu tu iwapo mhusika atachaji kwa waya wa USB.
 
kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake
 
Jinsi ya kuichunga simu yako

1. Chomeka USB katika kompyuta unazoziamini tu.

2. Weka namba za siri za kulinda taarifa zako katika simu. Ifunge simu yako. Usiifungue simu wakati unaichaji.

3. Tumia app ambazo haziwezi kudukuliwa kama vile WhatsApp na iMessage.

4. Weka app zakuzuaia uvamizi wa virusi.
 
Back
Top Bottom