Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juzi usiku saa tisa niliweka picha moja hivi (ya kawaida tu kwa maoni yangu). Basi watu wakaibuka na kusema iondoe hiyo picha utatuharibia mfungo. Nilicheka sana na nikaiondoa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaah,
Kwani wamelazimishwa kuangalia ??
Ndiyo juzi nilikuwa napeana mawaidha na ustaadhati moja hivi,
Nikamwambia kama unafunga jihadhari sana na mitandao maana unaweza kuta lolote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…