Mkuu mimi ni kijeba kwa kiasi fulani elimu yote ya sekondari niliimaliza mwongo mmoja uliopita.Ninyi siku hizi Boys tupu mnaenda na Smati Foni,Hahaha!
Mnapelekwa hadi kucheza disko shule za jirani. Teh teh teh!
Sisi tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye msosi na tunavalishwa mandopa, unayajua wewe ??
😀😀😀😀😀😀😀😀
Kwani una vumbi au umechafuka ???Leo usiku nafuta huu uzi! Jiandaeni kisaikolojia
Kwa kuwa umenichekesha nimeghairi kuufuta [emoji23] [emoji23]Kwani una vumbi au umechafuka ???
Hahahaha Mkuu unanichekesha,Mkuu mimi ni kijeba kwa kiasi fulani elimu yote ya sekondari niliimaliza mwongo mmoja uliopita.
Kweli..Hahahaha Mkuu unanichekesha,
Mwenzako ujana wangu umenikuta wakati hata Gugo na Smati foni hazipo.
Nimekuja kuzijua nimeshaanza kazi, ndiyo nikaanda kumiliki Ule Mche wa Sabuni Philips unauweka kiunoni unaonekana mjanja sana kitaaa. Kiufupi wala sikulaumu mkuu, kizazi chako kimeishi kwenye raha sana mzee.
Amani itawale jioni hii