Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Winga wa Leicester Riyad Mahrez amejitokeza katika picha ambazo amevalia jezi mpya ya klabu hiyo akiongeza matumaini miongoni mwa mashabiki wa klabu hiyo kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anayesakwa na Manchester City kwa dau la £60m atasalia na klabu hiyo. (Sun)
 
Roma wanafanya mpango wa kumuuza kipa wao raia wa Brazil Alisson 25, ambaye analengwa na Liverpool na badala yake kumnunua kipa wa klabu ya Bayer Leverkusen na Ujerumani Bernd Leno, 26. (Corriere dello Sport - via Metro)
Aston Villa itahitaji £40m kumnunua kiungo wa kati wa Uingereza Jack Grealish, 22, huku kukiwa na hamu kutoka kwa Leicester. (Sky Sports)
 
Manchester City ina mpango wa kumnunua beki wa Valencia na Ureno Joao Cancelo, 24. (Manchester Evening News)
Beki wa Juventus na Itali Giorgio Chiellini, 33, anatarajiwa kusaini kandarasi mpya itakayomuweka katika klabu hiyo ya Serie A hadi mwezi Juni 2020. (Football Italia)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Umeisahau PANDAGICHIZA
TZ yangu mwenyewe nitaachaje kuifahamu jamani [emoji23][emoji23][emoji23], Nikiamka nafanya kufikiria tu kesho nende wapi, mie huyoo...Nachanja mbuga.[emoji23][emoji23][emoji23].....

Hata nikiamua kesho naweza kumuibukia Ningendako huko anakovuna mpunga ashangae....Sasa sijui atakimbia???
Nkoyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
Legend has it wewe ni Mfipa wa Sumbawanga!
Hivyo kusafiri ni dakika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…