Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umewahi kustua kidogo bro
Kuna kituo cha treni reli ya kati kinaitwa Salanda pale kulikuwa na nyama za kila aina. Unanunua paja kuuuubwa ukiuliza nyama ya nini hii unaambiwa ni kuku. Mishikaki laiini ikiulizia unaambiwa mbuzi. Pale tulikula nyama za kila aina....kimtiacho mtu unajisi siyo kimwingiacho bali kimtokacho bro...
 
Back
Top Bottom