Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Umeisahau PANDAGICHIZA
TZ yangu mwenyewe nitaachaje kuifahamu jamani [emoji23][emoji23][emoji23], Nikiamka nafanya kufikiria tu kesho nende wapi, mie huyoo...Nachanja mbuga.[emoji23][emoji23][emoji23].....

Hata nikiamua kesho naweza kumuibukia Ningendako huko anakovuna mpunga ashangae....Sasa sijui atakimbia???
Nkoyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wew tena, nakuaminia kwa kutembea tu uko vzr Pyaar
Halafu hyo safari yako bado tu,, mwsho ntamaliza kuvuna mpunga hujatokea [emoji23][emoji23]
 
DeqtIYKW4AAb4Xt.jpg
 
Back
Top Bottom