Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna kituo cha treni reli ya kati kinaitwa Salanda pale kulikuwa na nyama za kila aina. Unanunua paja kuuuubwa ukiuliza nyama ya nini hii unaambiwa ni kuku. Mishikaki laiini ikiulizia unaambiwa mbuzi. Pale tulikula nyama za kila aina....kimtiacho mtu unajisi siyo kimwingiacho bali kimtokacho bro...
Huu mstari naupata
Bro ni kweli kiingiacho hakina shida
 
FullSizeR.jpg
 
Back
Top Bottom