Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Steroids mbaya sana. Korodani zinapotea na kaparachichi kanadumaa, uhanithi, kichwa kinakua na ubongo unaharibika - depression, extreme irritability, cardiovascular diseases na hata suicide ni jambo la kawaida tu. Wapiga mieleka wengi na body builders ndo zao hizi...

Hata unene wa kawaida una madhara yale yale japo kwa kiwango kidogo. Na yako reversible...
 
Hahahaha UMEONA HIYO. mikoani wamepinda kuliko unavyojua. Mkoani Mwanza wanafunzi wanjifunza kulawitiana mapangoni, Bokaba baba mmoja amehukumiwa miaka 60 jela kwa Ulawiti.Mkoani Dodoma wanafunzi nao wanajifunza upuuzi huo. Leo TABORA. Mikoani jiangalieni sana huko. Shetani anacheza karibu nanyi
 
Me nitajuaje sasa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Tumepata jibu tayali!! Shukrani bro
 
Hahahaha UMEONA HIYO. mikoani wamepinda kuliko unavyojua. Mkoani Mwanza wanafunzi wanjifunza kulawitiana mapangoni, Bokaba baba mmoja amehukumiwa miaka 60 jela kwa Ulawiti.Mkoani Dodoma wanafunzi nao wanajifunza upuuzi huo. Leo TABORA. Mikoani jiangalieni sana huko. Shetani anacheza karibu nanyi
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Shem si ukuwe mwalimu tu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…