Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jiwe hili hapa
IMG-20180531-WA0005.jpg
 
Hahahahah [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]!!! [emoji40] [emoji40] Kumbee!! Mbona nilidhani ni... Dah hahahahah!!! Aibuu
Nsiza wane = kakangu
Ilumbu lyane = dadangu
Nkulu wane = kakangu (mkubwa)
Nzuna wane = mdogo wangu (wa kiume)
Baba wane = baba yangu
Mayu wane = mama yangu
Mami wane = mjomba wangu
Sengi wane = shangazi yangu
Mama wane = bibi yangu
Guku wane = babu yangu
Nke wane = mke wangu
Ngoshi wane = mume wangu
Nyanda wane = kijana wangu
Ng'wanike wane = kijana wangu (wa kike)
Nsumba ng'wichane = rafiki yangu.

Matamshi yanabadilika badilika kulingana na lahaja. Wanyantuzu wa kule Bariadi, kwa mfano, wanakitamka tofauti kidogo hicho kimilikishi (wane ~ one)

Chapisha hii uweke kwenye mlango wa friji usije ukasahau tena [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom