Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,448
- 25,833
sureLabda , lakini hatuwezi kufanana
sureLabda , lakini hatuwezi kufanana
Tandu muziki wake anaujua andjul. Na nimeshashuhudia watu wakilazwa sababu ya huyu mduduKuna mdudu anaitwa Tandu naye nasikia anang'ata balaa, huyo naye jeee
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 792728
Nilifikiri hoja yako ni rais kuteua majaji kumbe ni uhuru wa majaji wanaoteuliwa. Kwa uimara na uhuru wa kitaasisi ni wazi Tanzania huwezi kuilinganisha na Tanzania yetu hii ambapo rais bado ni mungu mtu.ila mamlaka ya mahakama ya marekani ni tofauti na Tanzania, pamoja anateuliwa na raisi lkn utendaji wake hauingiliwi...wanakua na free will kulingana na sheria,
Trump hana uwezo wa kupindisha sheria sababu ameteua yeye majaji
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] huyu walimuonyesha nn wakati wanampga picha?
ila mamlaka ya mahakama ya marekani ni tofauti na Tanzania, pamoja anateuliwa na raisi lkn utendaji wake hauingiliwi...wanakua na free will kulingana na sheria,
Trump hana uwezo wa kupindisha sheria sababu ameteua yeye majaji
Yes, trump anateua na sababu hana jinsi tu inabidi afanye hivyo na anajua uteuzi wake ahautamnufaisha kwa sailimia zote,Nilifikiri hoja yako ni rais kuteua majaji kumbe ni uhuru wa majaji wanaoteuliwa. Kwa uimara na uhuru wa kitaasisi ni wazi Tanzania huwezi kuilinganisha na Tanzania yetu hii ambapo rais bado ni mungu mtu.
hahaha ni dhahiri yale macho yalikua yanastaajabu kituHahahaha
Nitafutie kamusi mkuu nataka kwenda saka mchumba GeitaNsiza wane = kakangu
Ilumbu lyane = dadangu
Nkulu wane = kakangu (mkubwa)
Nzuna wane = mdogo wangu (wa kiume)
Baba wane = baba yangu
Mayu wane = mama yangu
Mami wane = mjomba wangu
Sengi wane = shangazi yangu
Mama wane = bibi yangu
Guku wane = babu yangu
Nke wane = mke wangu
Ngoshi wane = mume wangu
Nyanda wane = kijana wangu
Ng'wanike wane = kijana wangu (wa kike)
Nsumba ng'wichane = rafiki yangu.
Matamshi yanabadilika badilika kulingana na lahaja. Wanyantuzu wa kule Bariadi, kwa mfano, wanakitamka tofauti kidogo hicho kimilikishi (wane ~ one)
Chapisha hii uweke kwenye mlango wa friji usije ukasahau tena [emoji16][emoji16][emoji16]
kwa mamlaka ya kikatiba aliyopewa raisi wa nchi....wananchi kumdhibiti sio kazi ndogo, viongozi wadgo wanafata nyayo za kiongozi mkubwaHata sheria yetu hairuhusu mahakama kuingiliwa.
Tatizo wananchi wengi hawanauelewa au uthubutu wa kuiwajibisha serikali na ndio maana viongozi wanafanya wanavyojisikia.
AseeEffects zake zinatofautiana kutoka kwa mtu na mtu. Na nyingi zinaonekana baada ya matumizi ya muda mrefu sana. Ukichunguza vizuri ni wachache wanaovuka 65 na vifo vyao ni vya kufanana fanana: Catastrophic cardiovascular events, kujiua, dementia na matatizo mengine yanayofanana fanana
Hatari kama nyoka au...Tandu hatari sana...
Angekuwa yupo TZ angemwagiwa povu la hatariHuko Marakani Trump pia anajaza majaji wa kihafidhina karibu kila mahakama na hata akiondoka leo athari zake katika mfumo wa mahakama utaendelea kwa miaka mingi ijayo kwa sababu baadhi ya majaji hawa uteuzi wao ni wa maisha. Na bado pengine kutakuwa na nafasi katika mahakama kuu (supreme court) ambako nako itabidi ateue.
kwa mamlaka ya kikatiba aliyopewa raisi wa nchi....wananchi kumdhibiti sio kazi ndogo, viongozi wadgo wanafata nyayo za kiongozi mkubwa
Imekuaje mkuu?Dstv customer care wanazingua
Ni kwelihahaha ni dhahiri yale macho yalikua yanastaajabu kitu
HahaaaaaNi kweli, si umeona kila mkija likizo mnatukuta hapa
Haaa si hahah kuona muongo kama weweSiyo mimi bana, nimesikia watu wakiteta huko kwa makapuku
Shemeji kwenye upande wa kesi huta ni weza. Unatujua tunavyopenda kesiHuwa nawadharau sana wanaume wanaodhulumu wanaukoo mahari. Uliahidi na makaratasi ukasaini now pay up damn it !!!