Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji471]
IMG_20180531_142013.jpg
 
Steroids mbaya sana. Korodani zinapotea na kaparachichi kanadumaa, uhanithi, kichwa kinakua na ubongo unaharibika - depression, extreme irritability, cardiovascular diseases na hata suicide ni jambo la kawaida tu. Wapiga mieleka wengi na body builders ndo zao hizi...

Hata unene wa kawaida una madhara yale yale japo kwa kiwango kidogo. Na yako reversible...
Kwahiyo wacheza mieleka wengi ni mahanithi? Utakuwa ni ujinga wa kiwango cha juu kutanua kifua kumbe mdebwedo!
 
Back
Top Bottom