Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Koromije ni opoziti. Ladba siku hizi. Nimeshakaa vikao vingi sana vya kuelewana mahari na sijawahi kusikia mwolewaji akiulizwa. Mara nyingi kwanza anakuwa hata hayupo
Hata pande hizi mkuu kuna mifumo ya aina mbili. Dini na mira za kiafrika. Mira: muolewaji hana nafasi ya kuulizwa na wala hana chake kwenye fungu litakalolipwa. Dini: inaagiza mahari ni mali ya muolewaji na watu wasirundike vikolokolo vingine ili kuharakisha ndoa
 
...
IMG-20180602-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom