Inna Lilah wainna illayhi rajiuunTanzia: Mapacha walioungana (Maria na Consolata) wamefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Iringa.
Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za wapendwa wetu mahali pema peponi, Amina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha sio kweli...
Tungekuwa China tungemkosa huyu
hahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha stop that bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikiona kitu tuna sapoti wote ntajua mmoja wetu ana potoka hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahaha stop that bro
Amekulia Pwani huyo, mvumilie tuKisukuma hukijui bageshi. Unajua maana ya ilumbu lyane? Kiache tu !!!
Hatari.hahahahaha
Ameiba dawa,barabara,madawati, miundombinu ya maji, reli ya SG, Daraja la jangwani, kivuko cha Busisi, Bombadier, nk. Ni kwakuwa ameiba malighafi ndiyo maana huoni alichofanyaChenge hajawahi kumwibia mtu hapa Tanzania,..
haya kaka, Ney yupo wapi....unajitahid sana kumficha aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
True muraaa
Hapa itakua mkanda uliisha/ulijaa wakalazimika kutumia picha hiyo hiyo!!Hatari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kipi kilimfanya awe hivyo???Hapa itakua mkanda uliisha/ulijaa wakalazimika kutumia picha hiyo hiyo!!
Itakua chafya hii ....ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kipi kilimfanya awe hivyo???
HahahahaWe huna ujiwe wo wote. Ukitingishwa kidogo tu unayeyuka.
Nsiza wane = kakanguHahahahah [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]!!! [emoji40] [emoji40] Kumbee!! Mbona nilidhani ni... Dah hahahahah!!! Aibuu
Pwani hiyo babu na vitongoji vyake, ni shida mkuuWapi huko? Uzaramoni ama?
Emoji hii jamani mbona mi sina?Fayaaaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23]