Asje man utd aende psgKama dili hilo likigoma kukamilika kuna uwezekano mkubwa Ronaldo akaachana na Real Madrid mwaka huu huku Manchester United na PSG zikitajwa huenda zikavamia kwenda kumnyakua Mreno huyo ambaye hatima yake itafahamika wazi baada ya fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza Russia baadaye mwezi huu.
Pamoja na yote, usiku huo wa fainali Zizzou hakutuacha salama. Wakati Ufaransa yote ikimtazama Zizzou kama mkombozi wao. Wakati Dunia ikimtazama Zizzou kama mtu anayekwenda kuipa taji timu hiyo, alituacha kimaajabu.
Tulia wewe aaaahhhAsje man utd aende psg