Bry N
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 739
- 883
Hw abt youMfano baadhi ya wanawake wakiulizwa wanapenda kuolewa na mwanaume gani, anaweza akakupa majibu ya ajabu hadi mwenyewe ukashangaa.
Anaweza kukwambia anapenda mwanaume mrefu, asiwe anavuta sigara, asiwe anakunywa pombe, ajue kupika, awe msomi kidogo, awe na upendo, awe anajua kuvaa, awe anatabasamu, awe anapenda watoto, awe hachelewi kurudi kazini, awe anampenda Mungu, asiwe mnene, awe anafanya maozezi na zaidi na zaidi na zaidi.