Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na msimamo kwa nafsi yako mwenyewe yaani hapa namanisha usiidanganye hata siku moja, ukisema nataka kufanya jambo flani kwa mstakabali wa maisha yako basi lifanye usitafute sababu ya kushindwa, ukijiahidi kuamka mapema weka na muda kabisa wa kuamka na ratiba utakayoanza nayo mara uamkapo hapo utakuwa na uwezo mkubwa katika kila ulifanyalo.
 
Katika aya ya kwanza pale juu nimejaribu kukuonyesha pande hizi mbili zinavyoshindana huko ndani kila leo na mtu kuchagua upande dhaifu.
Wazo ni mbegu, na ili lizaliwe linahitaji kupandwa na kusubiliwa katika misimu kadhaa hadi lilete matunda. Kuna msimu wa kumwagilia pale mvua inapokata, kuna wakati wa kuongeza mbolea, kutia madawa lakini usisahau kuwa kuna wakati wa kuvuna. Na wote tunafurahia mavuno.
 
Cha ajabu ni kuwa katika dunia ya leo ni wachache sana wanofurahia mavuno yao na hawa ni wale walioamua kutumia ule upande wenye nguvu.
Siku zote jichukulie kuwa upo peke yako, na uanze kuandika njia za kutatua matatizo yaanayokusumbua kila leo, fikiri ni njia ngapi umetumia kupambana na hilo tatizo, na ikiwa unakwama usikate tamaa kaa chini andika na utafakari kila mbinu uliyotumia kupambana na tatizo husika, na kwa nini zimekwama, baada yapo tafuta kutatua kukwama kwa njia ulizozitumia hapo mwanzo na baada ya hapo rudia tena na tena hadi hi
 
Pray for davet bana ,he is so sick
Ni kweli anaumwa? Kama ni kweli basi Mungu Amponye arudi hapa tuendelee kuburudika na vituko na misemo yake....

Fayaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cha ajabu ni kuwa katika dunia ya leo ni wachache sana wanofurahia mavuno yao na hawa ni wale walioamua kutumia ule upande wenye nguvu.
Siku zote jichukulie kuwa upo peke yako, na uanze kuandika njia za kutatua matatizo yaanayokusumbua kila leo, fikiri ni njia ngapi umetumia kupambana na hilo tatizo, na ikiwa unakwama usikate tamaa kaa chini andika na utafakari kila mbinu uliyotumia kupambana na tatizo husika, na kwa nini zimekwama, baada yapo tafuta kutatua kukwama kwa njia ulizozitumia hapo mwanzo na baada ya hapo rudia tena na tena hadi hilo jambo utalifanikisha.
 
Tuambaua kwamba maendeleo yote unayoyaona hapa duniani ni juhudi za waliaomua kutumia ule upande wenye nguvu katika kutatua matatizo yaliyowakabili, tunavaa viatu kwa sababu kuna aliyechomwa na mwiba akaamua kutafuta njia za kutochomwa na mwiba huo.
Tunalala ndani kwa sababu kuna mtu aliyepatwa na jua na mvua kali kumpiga akaamua kutafuta suluhu ya matatizo hayo.
Usilalamike ila chukua hatua.
 
Nikajiuliza hivi kama aliumba kila kitu, hata MBU…huyu ambae amefanyika kero kila usiku nilalapo basi yeye ndio wakati wake wa kufanya yale anayoyaita mawindo…halafu ajabu ni kwamba ananiwinda mie tena ndani kwangu…nikaendelea kuwaza mara akaja nzi huyu nae bado ni kero tosha acha ile ya uchafu na magonjwa ila kile kiherehere chake cha kujifanya anajua kila kitu, hivi huyu nae ilikuwajekuwaje…..Kutokea hapo nikajua kuna viumbe wengine ambao, hata ukiambiwa kwamba wapo au wamewahi kuwepo huwezi kukubali na kama ukiwa mchunguzi kama mie utakubali kwa shingo upande huku ukiamua kufanya utafiti wako…
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo alikuwaga wa kawaida tuuu
Ila celebrit alivo sema tuu anaye, chati imepandaa ni hatariii
Bro Davet tangu azinduliwe ni selebriti mkuu. Usijilinganishe naye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Jamani shikamooni
 
Hadi sasa tafiti mbali mbali zimefanywa ili kujua ilikuwaje mbwa huyu akatokea katika uso wa dunia, maana wazazi wake halisi imekuwa ni kitendawili hasa ukizingatia kuwa aliyejikuta na mbwa huyu ni baada ya kuwa amemsikia akibweka pembezoni mwa msitu. Na baada ya hapo akaamua kumchukua na kumlea maana aliona kama hataweza kuishi ikiwa kama atamtelekeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…