[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekoma shunie mm jamani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] sizindui tena pale ndio mwanzo na mwisho
Pole sana. Is it serious au ni homa tu ya kawaida. Mungu Amponye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Usawa wa nini jirani. Huoni dogo muwa umezidi utamu mpaka anashangaa? [emoji16][emoji16]Duh!!! Kuna usawa kweli?
Sawa mpe pole mwambie nyumbani kwake sote tuna muombea.Kujisahau tu kaka akee tusameheane
Unapata changamoto eeeh!?
Asante. Mungu Atamponya. [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi uwazoee tu
Eee anaumwa kweliNi kweli anaumwa? Kama ni kweli basi Mungu Amponye arudi hapa tuendelee kuburudika na vituko na misemo yake....
Fayaaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa utazindua mara mbili si ndio ushafanya!
Wala shem be proud na mtu wako ukiamua
Unamfungulia tena tuu
Tuna mwombea[emoji120] malaria yake kali sana si unajua watu ambao hawaugui mara kwa mara ikiwashika wanakamatika
Aisee. Kwa vile upo atakuwa anapata matunzo sahihi na kwa msaada wa Mungu atapona tu. Pole sana kwa kuuguza.[emoji120] malaria yake kali sana si unajua watu ambao hawaugui mara kwa mara ikiwashika wanakamatika
Sawa mpe pole mwambie nyumbani kwake sote tuna muombea.
Umuuguze vyema pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna namna
kweli..Usawa wa nini jirani. Huoni dogo muwa umezidi utamu mpaka anashangaa? [emoji16][emoji16]
Eee anaumwa kweli
Hii emoj ya fayaa inapata kazi humu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Fanya hivo asee
Nakwambia hakuna atakaye kuwa ana kuchukulia poa
Tuna mwombea
M/Mungu atamponya