Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vigumu sana kuweza kumuona kwa vile anaishi kwa mashaka sana,maana mara tu anapoonekana machoni pa watu hushambuliwa na kuwaua kwa sababu mbalimbali.Wengine huwaua kwa sababu ya kuwatuhumu kuwa wanakula mazao yao mashambani.Lakini wengine humuua kwa sababu wanadai kuwa miiba yake ni dawa. Nungunungu hupenda kuishi na kufurahia mazingira yenye mapori na misitu ili kujihadhali na ukatilii anaotendewa. Hupenda sehemu zenye nyasi ndefu ndefu ajili ya usalama wake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi mi huwa napenda kuangalia ligi zako
Halaf napita mdogo mdogo
Safi sanaa!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hasa zile fayaaaaaaaa, ngoja nimshukuru ledada kwa uzinduzi wa emoji hiii itanisaidia kwenye ligi hukoooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ila huwa una nifurahisha mweeh!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeeee
Yegomasika kwa hii comment unaweza itumia kupigana masumbwi ya nguvu,kurenew passport,kuombea green card kwa trump,kupandia gorofani kuokoa mtoto,kuitwa beibiiiii na numby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tena wewe ulivyo ngangari hivi hapa halafu paaap unamzindua Yego aisee itakuwa patashika nguo kuchanika. Watu watataka kujua who is he na ana nini mpaka kamlainisha Numby mwanamke wa shoka asiyeback down kwenye mabifu na vita vya kila aina. Do it please !!!
 
Anaposhtuliwa, nungunungu hujikinga kwa kujikunja kama mpira. Misuli yake yenye nguvu hukaza ngozi yake yenye miiba na kuufunika mwili wake mzima. Ngozi hiyo yenye miiba hufunika kichwa, mkia, miguu, na sehemu zake za chini. Mnyama huyo anaweza kujikunja hivyo kwa muda mrefu.
 
1528120336583.jpeg
 
Tena wewe ulivyo ngangari hivi hapa halafu paaap unamzindua Yego aisee itakuwa patashika nguo kuchanika. Watu watataka kujua who is he na ana nini mpaka kamlainisha Numby mwanamke wa shoka asiyeback down kwenye mabifu na vita vya kila aina. Do it please !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha hizo nisije kimbia ID yangu mwenyeweee
 
Back
Top Bottom