Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nungunungu huona njaa wakati wa jioni. Chakula chake cha jioni huwa wadudu na minyoo, lakini wakati mwingine anaweza kula panya, chura, mjusi, au hata njugu na matunda ya beri. Nungunungu husikia vizuri sana. Pia ana uwezo wa kunusa wenye nguvu, na unaweza kutambua jambo hilo ukiona pua lake refu lenye umajimaji.
 
This right here is an African woman !!!
1528120255346.jpeg
 
Tena wewe ulivyo ngangari hivi hapa halafu paaap unamzindua Yego aisee itakuwa patashika nguo kuchanika. Watu watataka kujua who is he na ana nini mpaka kamlainisha Numby mwanamke wa shoka asiyeback down kwenye mabifu na vita vya kila aina. Do it please !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila.mtu ataanza kufuatilia hadi Yego huwa ana post vitu gan hivo

Yaan itakuwa ni epic
 
Mbali na mbweha na melesi, nungunungu hana maadui wengi mwituni. Melesi aweza kubambua ngozi ya nungunungu kwa kucha zake zenye nguvu bila kuumizwa na miiba. Nimewahi kuona ngozi ya nungunungu mara kadhaa. Huenda ngozi hiyo ikawa imebaki baada ya melesi kumla nungunungu mzima. Kwa upande mwingine, mbweha hawezi kustahimili miiba ya nungunungu, lakini anaweza kujaribu kumviringisha hadi majini, ambapo nungunungu hulazimika kujikunjua la sivyo atakufa maji. Kwa kuwa nungunungu ni mwogeleaji hodari, huenda akafikia mawe au kuingia ndani ya mashimo yaliyo kando ya mto kabla mbweha hajamnyakua na kumfanya kuwa kitoweo chake.
 
Aaaaah
Asee nilikuwa suprised sku ile! Hahahaha

Hata wewe ulitu suprise na ulichukua kijiji kizima mpaka mods!
raha ya uzonduzi ni watu wawe suprised
Na suprise iwe pale unapotosa proposal ya memba maarufu kama genta kisha unaibuka na kijana mpyaaaaaaaaaa toka kwenye karatsi kama nguo za spenso[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Nungunungu huanza kujamiiana katikati ya miezi ya Mei na Julai, na wanarudia kufanya hivyo kwa mara ya pili katika kipindi hichohicho. Baada ya majuma manne hadi sita, watoto watatu au wanne huzaliwa wakiwa na uzito unaopungua gramu 30. Watoto hao huwa hawaoni wala kusikia wanapozaliwa, hivyo wanaweza kushambuliwa kwa urahisi katika majuma mawili ya kwanza. Kisha miiba humea mahali palipokuwa na manyoya laini. Baadaye wanaweza kujikunja kabisa. Kabla ya kupata uwezo huo, wao huruka juu mara moja na kutoa mlio mkali wa kuchatachata wanaposhtuliwa. Jambo hilo huwashtua maadui zao wengi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila.mtu ataanza kufuatilia hadi Yego huwa ana post vitu gan hivo

Yaan itakuwa ni epic
Kama bro Davet mi nilikuwa sijawahi kumsikia. Enzi zile kule kwingine kulikuwa na jamaa anajiita Baba D. Nilidhani ndiye alikuwa mmiliki tena wa halali kabisa. Halafu wachovu wakawa kila siku wanaanzisha thread kibao halafu vu bin vu from nowhere Davet akazinduliwa. Just like that kijana wetu akawa selebriti. Apone haraka kwa kweli...
 
Ukijaribu kumfuga nungunungu, yeye hupanda ukutani, au kwenye bomba la maji na kuponyoka kwani anapenda kulisha katika eneo kubwa. Ndiyo sababu, si rahisi kumfuga au kumfanya awe mnyama kipenzi. Ni vizuri zaidi kwamba hafugwi kwa kuwa yeye hubeba viroboto wengi sana
 
Back
Top Bottom