Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hongera mkuu
Hongera mkuu
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kijana mna mjali kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na suprise iwe pale unapotosa proposal ya memba maarufu kama genta kisha unaibuka na kijana mpyaaaaaaaaaa toka kwenye karatsi kama nguo za spenso[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nilikuwa nauliza tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Thread yake jamaa ilikuwa kali sana. Halafu akapigwa chini dah. Ningekuwa mi ningepumzika JF kwa mudaNa suprise iwe pale unapotosa proposal ya memba maarufu kama genta kisha unaibuka na kijana mpyaaaaaaaaaa toka kwenye karatsi kama nguo za spenso[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama bro Davet mi nilikuwa sijawahi kumsikia. Enzi zile kule kwingine kulikuwa na jamaa anajiita Baba D. Nilidhani ndiye alikuwa mmiliki tena wa halali kabisa. Halafu wachovu wakawa kila siku wanaanzisha thread kibao halafu vu bin vu from nowhere Davet akazinduliwa. Just like that kijana wetu akawa selebriti. Apone haraka kwa kweli...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti mpaka mods naona walikuwa wanasoma kimyakimya wanacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Thread yake jamaa ilikuwa kali sana. Halafu akapigwa chini dah. Ningekuwa mi ningepumzika JF kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijamwambia chochote kama nashusha thread[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenimumbusha mbali, yaan ile reaction mpaka mdogo wangu mwenyewe hakuamini. Alipatwa shock.
Ila it was good
Bro Davet ndiye Baba D? Unakumbuka lakini enzi zetu na akina Husna na Shedede kule Makapuku? Couples zingine huko nimeanza kuzisahau. JF hii ina raha zake [emoji16][emoji16][emoji16]Sizindui tena jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na suprise iwe pale unapotosa proposal ya memba maarufu kama genta kisha unaibuka na kijana mpyaaaaaaaaaa toka kwenye karatsi kama nguo za spenso[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vijana wengi waliumia sana sku ile
Maana alo kuwa ana zinduliwa alikuwa ni new toka kwenye makaratasi.
Yaan ile ilikuwa ni kama Nigeria kushinda kombe la dunia[emoji23]