Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
AISEEEEE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi nilikuwa nsha zoeana na Davet nilikuwa najua yeye ndio shemeji kama na sku 3 hivi
Hapo nsha mchimba chimba biti kule ule uzi wa mapopo nikamwambia dogo ole wako uzingue chombo kile.
Ila kitendo cha kukuta mpaka siredi asee na mimi nilikuwa shocked! Yaan skuamini mpaka nlivo maliza kunywa maji lita moja.
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] haka ka davet katakua katamu sana daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu niache numbi ujue sijawahi kumwanzishia mwanaume thread shunie mm
NjemaSafi moud za wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu sijamwambia chochote kama nashusha thread
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] haka ka davet katakua katamu sana daaah
Nafurahi kukuona tumemiss mapicha picha yako makapukuNjema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah mbona unampaka pilipili badala ya asali bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hata sio ka tamu ni kachungu atakayemchukua najua bada ya siku mbili tatu tu atamrudisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeh nlikutana naye huko mitaani nikamwambia bro mambo yashakuwa huko umati wa jf unakusubiri wewe tu, hakuamini yaan. ila nli enjoy sanaa.
He is a good man.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana
Kweli numbi sitanii jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata week haiishi nitarudishiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaah mbona unampaka pilipili badala ya asali bana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ee mbona unapolalamika usingizi au njaa huwa tunagundua[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I will never forget ile siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Ila huwa una nifurahisha mweeh!