[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi yako hivyo. Ukiwemo unakuwa umefumwa kwenye kunguku huoni wala husikii. Ukitoka yaani mpaka unajishangaa. Na umekuwa umejifunza mengi. Pole na hongera !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Twende tukatafute chips basi[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ndiyo. Nataka nikanunue mahindi mabichi na maharagwe mabichi nije nichemshe. How hard can it be? Lisaa limoja kande zimeiva. Nitawaita mje na Ice. Anapenda kande balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani wewe hukumtumia??[emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nna kijitabia cha kupenda na miguu yote yaan huwa naingia na viatu kabisa kabisa sasa yule alijua kunitumia kweli kweli[emoji17] .
But i asked my self how could love be paid by so much pain like this!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wewe hukumtumia??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hizi mambo ni ngumu kwakweli dah!!
Utachelewa kula sana.Ndiyo. Nataka nikanunue mahindi mabichi na maharagwe mabichi nije nichemshe. How hard can it be? Lisaa limoja kande zimeiva. Nitawaita mje na Ice. Anapenda kande balaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na,wewe ukakubali kukuwa slave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yale hayakuwa mapenzi
Modern day slavery ile
Dah!hushibi kande??[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bruh! Kande sitashiba
[emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na,wewe ukakubali kukuwa slave[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikula daku saa2,nilihisi njaa[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una ntisha ujue
Kwani hukupika daku!!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mnateteana kama kawaida yenu