Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15270448713218589.jpg
 
" Weka waamuzi na maakida katika malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; Nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki. Usipotoe maamuzi wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili na kugeuza daawa ya wenye haki.
Yaliyo haki kabisa ndiyo utakayoyafuata ili upate kuishi na kuirithi nchi upewayo na BWANA Mungu wako.
Kmb. 16:18-20.
 
Back
Top Bottom