Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Deni la mazingira

Mungu alimtwaa Adamu akamweka katika Bustani ya Eden Ailime na kuitunza . Adamu wa leo ni wewe na Mimi je, unafahamu kuwa umefungwa ufahamu wako kwa kutokufanya usafi wa mazingira na Akili yako imelala haiwezi kufikiri mambo makubwa bali inafikiria vitu vya kawaida kila siku ? Kugusa ardhi ni kufungulia baraka , ulinzi wa kazi zako, kuanza kuona fursa mbalimba. Ni kuanza kuwa na furaha, Amani ndani yako, inakusaidia wewe na mimi tutumie muda vizuri. Badala ya kuongea umbea , kuangalia movies siku nzima, kuchart na kusoma magazeti , tumia muda wako kufanya usafi wa mazingira, nyumbani mwako, kazini kwako, barabarani, kuzibua mitaro na vingine vingi, utaanza kuona Mungu anakushirikisha baraka zake.
 
Niwe mkweli kwamba niliachwa [emoji28]
Yaan i lived in pain kwenye relationship nzima(tho i knew sipendwi sikuwa naweza kuondoka, sjui nilirogwa!![emoji17] ) and when she felt i am of no use to her she left. And it was more painful.

Ila when i look back huwa najicheka kwa kuvumilia upuuzi na najishangaa how was i calling my self a man if was so weak.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ndo maanaaaa!
 
Fresh new research inasema kwamba pengine ukosefu wa usingizi wa kutosha ndiyo source namba moja ya aina zote za kansa. Kulala chini ya masaa manne kwa usiku mmoja tu kunaifanya immune system idorore kwa asilimia karibu 70. Ndiyo maana baadhi ya nchi sasa watu wanaofanya kazi zenye zamu za usiku wameanza kutambuliwa kama watu wanaofanya kazi za hatari kwa afya na wanafidiwa.

Habari njema ni kwamba unaweza kufidia usingizi uliopoteza siku za wiki kwa kulala masaa zaidi ya 10 siku za wikiendi.

Umesema vyema. Wasiwasi wangu ni fidia ya usingizi weekend, inarudisha body immunity ilopotea kwa kias pia inatosha kuepuka cancer .?
 
[emoji10]
IMG-20180605-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom